Wednesday, September 26, 2018
Monday, September 24, 2018
Ab GUY FT MO STAR BOSS PRODUCED BY MO STAR &GMINOR
Ab Guy msanii Toka pande flani hivi za kibishi Anafanya vizuri kwenye Gemu hii ya rap tizama apa chini kujionea video yake ni muda sasa wa ku support vijana wetu kupitia vipaji vyao walivo kuwanavo long live bro kwa kazi nzuri kama hizi bonyeza apa kuangalia video yake...!!!
Ndani Ya mitaa leo kimewakaa nipo na mtu wa nguvu mwiite Man Piroo TZ Leo ametuletea sisi wadau wa muziki ngoma kali inakwenda kwa jina la Game bonyeza http://mdundo.com/a/106165 apo chini kui download na kusikiliza furahia muziki mzuri....!!!
Tuesday, September 18, 2018
UNGALIMITED HARD LIFE
Movie kali inayo onyesha maisha halisi ya mitaa flani jijini Arusha bonyeza apa kuaangalia
Monday, September 17, 2018
H- TATTOO
Ran Awesome Tv Leo katika pita pita mtaani nimekutana na wakali wa mambo H- TATTOO STUDIO21 Wakali wa kuchora tattoo ndani ya Arusha noma sana emu tizama video apo chini uone vijana walivokuwa wa bunifu...!!!
Thursday, September 13, 2018
HAPPY BIRTHDAY Brother
Leo tarehe 13september Kazaliwa jamaa moja anajulikana kama Jeff O'neil HAPPY BIRTHDAY Brother Mungu akutangulie kwa kila jambo ufanyalo Stay Blessed
Wednesday, September 12, 2018
Kevooo TG
kevoo TG mkali wa kuna nata na beats na mwenye mistari mikali Ameamua kuendeleza harakati kwa kufanya mitindo huru mingi kupitia beats tofauti tofauti hii apa ni moja ya video yake ametuletea sii wadau wa good music tizama apo chini ujionea maajabu
Sunday, September 9, 2018
NASHUKURU KWA YOTE
Niga Raa
Ran Awesome Tv ana washukuru watu wote walio jitolea kumpost kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa. Tupo pamoja wandugu Mungu awabariki
Happy BirthDay Niga Raa
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Ran Awesome angalia video akiwa anasherekea sikuku yake hiyo ya kazaliwa ilikuwa poa sana tizama apo chini
HAPPY BIRTHDAY
Leo kazaliwa mtu wa nguvu C.E.O. wa TG STARZ Home bway Ran Awesome Tv a.k.a Niga Raa Happy Birthday brother Mungu Akubariki kwenye harakati zako za kila siku. Usikate tamaa zidisha mapambano Mungu yupo nawe HAPPY BIRTH DAY BROTHER
Saturday, September 8, 2018
KEVOO TG FREESTYLE
Kevo TG underground Anayekuja kwa kasi ya ajabu tizama video yake akitoa mitindo huru
Friday, September 7, 2018
SNAKE FIRE CHEZA KWA STEP( OFFICIAL VIDEO)
King wa #MbuganiRepublic TZ King Wmo Snake Fire
mkali wa #yededestyle live long broh kwa kazi nzuri kama hizi..!
angalia video ya nyimbo yake inayoitwa Cheza Kwa Step kupitia apa
https://www.youtube.com/watch?v=ykutBi_K1HM Heshima ziende kwake Legend wa Bongo Fleva jaymoefamous
Jabulani ThrowBack Time
Jabulani mwana harakati wa kitaa anaye kuja kwa kasi sana kwenye tasnia hii ya muziki hii apa ni moja ya video yake https://www.youtube.com/watch?v=YnVYR6iGSHU&t=8s nimeamua kukuletea wewe mdau na mpenz wa muziki wa kizazi kimpya
Thursday, September 6, 2018
Subscribe to:
Comments (Atom)
Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025
Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025 Get #Unastahili now on Youtube https://youtu.be/WF7h7MP96r4 Ge...






