Saturday, December 19, 2015
Friday, July 3, 2015
Monday, March 23, 2015
Monday, February 16, 2015
Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.
Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.
Hikmet
Komur mwenye umri wa miaka 32 alitamani sana kumuona mpenziwe Luisa da
Silva swala lililomlazimu kupanda katika gea ya kutua kwa ndege moja ya
Uingereza nchini Istanbul.Lakini alifariki alipokuwa katika safari kutokana na baridi kali ya vipimo vya chini vya -60c ambayo ilimuathiri ubongo wake.
Kabla ya safiri alimwambie mwanawe kwamba atasafiri kwa siku chache.
Mwili wa bwana Komurs ulipatikana katika uwanja wa ndege wa Heathrow baada ya wafanyikazi katika uwanja huo kuona miguu ya binadamu.
![]() |
| Aganda na kuwa barafu |
Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya kwa watumiaji wa mtandao huo
Mtandao wa kijamii Facebook
umeongeza mazingira mapya ambayo yatampa mtumiaji wa mtandao huo uamuzi
juu ya kurasa zao kuwa zifutike kabisa katika mtandao huo pindi watakapo
fariki dunia.
Ama kama watataka kumchagua rafiki ama mwanafamilia atayeendelea na ukurasa huo na kudhibiti baadhi ya masuala katika ukurasa huo baada ya kifo chao.Mazingira hayo ni moja ya madai waliyokuwa wakiyahitaji watumiaji wa mtandao huo wa kijamii ambao walitoa maoni yao juu ya ukurasa wa kumbukizi na taratibu zake.
Hata hivyo utaratibu huo mpya kwa kuanzia utaanza kutumika nchini Marekani.
Akitangaza utaratibu huo mpya ,mtandao huo wa kijamii umeeleza kuwa ,mtu akifa ukurasa wake unaweza kubaki kuwa kumbukumbu ya maisha yao hapa duniani,lakini pia ishara ya urafiki na uzoefu.
Kwa kuzungumza na watu waliopoteza wapendwa wao,tuligundua kuwa kuna kitu tunaweza kufanya kuwaunga mkono wale wanaoomboleza na wale wanaotaka kusema kitu kwenye kurasa za marehemu .
Kama mtumiaji ataamua kumruhusu mtu Fulani kuendeleza ukurasa wake hata katika siku ya mazishi na hatimaye maziko anaweza kufanya hivyo pia.
![]() |
| Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya |
Saturday, February 14, 2015
Friday, February 13, 2015
HAPPY VALENTINE DAY
Happy valentines day for every body on the world Be happy 2day show some love 2 every one who love you or not dont ignore that couz 2day is special day to show some love 2 every one
upendo ni kitu cha bure jifunze kupenda na iman utapendwa saaaana kwan kwenye hiii dunia bila upendo bado hatujafanya chochote ivo rafiki yangu mpende anayekupenda ata asiye kupenda
ivo bhac fanya vile unavojipendelea ila usisahau kuonesha upendo kwa kila moja kwan upendo n maisha na maisha n upendo
upendo ni kitu cha bure jifunze kupenda na iman utapendwa saaaana kwan kwenye hiii dunia bila upendo bado hatujafanya chochote ivo rafiki yangu mpende anayekupenda ata asiye kupenda
ivo bhac fanya vile unavojipendelea ila usisahau kuonesha upendo kwa kila moja kwan upendo n maisha na maisha n upendo
Thursday, February 12, 2015
Wednesday, February 11, 2015
Mecca cheka kundi la sanaa toka Arusha
mecca cheka kundi la sanaa linalofanya vyema jijini arusha na pande za jiran wanafanya aina tofaut ya mziki ukiwemo hiphop, Afro pop na aina nyngne nying ya mziki.......
mwaka 2010 walifanya vizur yan paka ikwawapelekea kujulikana arusha nzima na mikoa mingene ya jirani waliachia hit song kama pole ndo ukome , rakatata ambazo zilifanya vyema media zote za jijin na hata jiran
Waliendeleza harakat hawakukata tamaa wakazid kutoa hit song zilzo tikisa pande zote za jijin walitoa ngoma kama Darasa huru ambayo walimshirikisha sister nakaya pia walitoa ngoma na mkali G nako hii ngoma ilii fanya vyema sana
hii ni moja ya show yao kubwa waliyo wahi kupiga apa jijin Arusha n sheeeeda hawa majamaa.........
Apa wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao wanaofatilia mziki wao.......
mwaka 2010 walifanya vizur yan paka ikwawapelekea kujulikana arusha nzima na mikoa mingene ya jirani waliachia hit song kama pole ndo ukome , rakatata ambazo zilifanya vyema media zote za jijin na hata jiran
Waliendeleza harakat hawakukata tamaa wakazid kutoa hit song zilzo tikisa pande zote za jijin walitoa ngoma kama Darasa huru ambayo walimshirikisha sister nakaya pia walitoa ngoma na mkali G nako hii ngoma ilii fanya vyema sana
Bado n wakali kwenye gemu hili la sanaa japo kwa sasa wamepotea kidogo ila hawa majamaa n hatar saaana kama wakipewa support ya moja kwa moja watafika mbali saaana katika tasnia hiii ya sanaaa
Apa wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao wanaofatilia mziki wao.......
Tuesday, February 10, 2015
Bad brain A.K.A Croo brain up coming artits anayekuja vema katika tasnia hiii ya muziki muda so mrefu ntakuletea singo yake ya kwanza....aliyofanya pande za mbezi record
pia anajishughulisha na mambo mbali mbali kam fashion show ukimchek apo chini ka2piaa ileee mbaaayaa anatishaaa xaaana hu jamaaaemu tazama angalau picha zake kidogoo ujioneee

Monday, February 9, 2015
Hii ndo lyfe style 2nayozungumzia yan maisha yako halisi unayoishi bila kujali upo wapi ,unafanya nn ,muda gan kujikubali mpaka mwisho ivo yan...! big up xaana kwa hawa majamaaa wameonesha mwanzo mzur wa safari yao ya kimaisha ivo bhasi nawatakia kila la kheri mungu awabariki....!!!
...............................................................................................................................................................
KARIBUNI SAAANAAAA
Habar gani wapenz wafatiliaj wa blog ya kijanja na kibishi I wish na jua mko poa saaaana pande hizoo mnazo patikanaaa.... bila shaka mungu kabariki teeena yapasa kushukuru kwa yotee.......!!!
Bila ya kusita sita ningependa kuwakaribisha rasmi katika blog hii kijanja ya LYFE STYLE karibuni saana na mkae mkao wakula kwa kupata habari mbali mbali zinazo husu maisha, burudani na mengine mengi tutayokuta nanayo hatutasita kuwahabarisha nyie wapenz wafatialiaj wa blog hiii ya kijanja na kibishi hivyo bhasi tungependa kuwa ambia stay tune na LYFE STYLE kwa habar za uhakika.....!!!
....................................................................................................................................................................
Subscribe to:
Posts (Atom)
Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025
Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025 Get #Unastahili now on Youtube https://youtu.be/WF7h7MP96r4 Ge...



























