Wednesday, February 11, 2015

Mecca cheka kundi la sanaa toka Arusha

mecca cheka kundi la sanaa linalofanya vyema jijini arusha na pande za jiran wanafanya aina tofaut ya mziki ukiwemo hiphop, Afro pop na aina nyngne nying ya mziki.......

mwaka 2010 walifanya vizur yan paka ikwawapelekea kujulikana arusha nzima na mikoa mingene ya jirani waliachia hit song kama pole ndo ukome , rakatata ambazo  zilifanya vyema media zote za jijin na hata jiran
Waliendeleza harakat hawakukata tamaa wakazid kutoa hit song zilzo tikisa pande zote za jijin walitoa ngoma kama Darasa huru ambayo walimshirikisha sister nakaya pia walitoa ngoma na mkali G nako hii ngoma ilii fanya vyema sana

Bado n wakali kwenye gemu hili la sanaa japo kwa sasa wamepotea kidogo ila hawa majamaa n hatar saaana kama wakipewa support ya moja kwa moja watafika mbali saaana katika tasnia hiii ya sanaaa
 
hii ni moja ya show yao kubwa waliyo wahi kupiga apa jijin Arusha n sheeeeda hawa majamaa.........
Apa wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao wanaofatilia mziki wao.......

No comments:

Post a Comment

Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025

  Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025 Get #Unastahili now on Youtube https://youtu.be/WF7h7MP96r4 Ge...