Wednesday, September 12, 2018
Sunday, September 9, 2018
NASHUKURU KWA YOTE
Niga Raa
Ran Awesome Tv ana washukuru watu wote walio jitolea kumpost kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa. Tupo pamoja wandugu Mungu awabariki
Happy BirthDay Niga Raa
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Ran Awesome angalia video akiwa anasherekea sikuku yake hiyo ya kazaliwa ilikuwa poa sana tizama apo chini
HAPPY BIRTHDAY
Leo kazaliwa mtu wa nguvu C.E.O. wa TG STARZ Home bway Ran Awesome Tv a.k.a Niga Raa Happy Birthday brother Mungu Akubariki kwenye harakati zako za kila siku. Usikate tamaa zidisha mapambano Mungu yupo nawe HAPPY BIRTH DAY BROTHER
Saturday, September 8, 2018
KEVOO TG FREESTYLE
Kevo TG underground Anayekuja kwa kasi ya ajabu tizama video yake akitoa mitindo huru
Friday, September 7, 2018
SNAKE FIRE CHEZA KWA STEP( OFFICIAL VIDEO)
King wa #MbuganiRepublic TZ King Wmo Snake Fire
mkali wa #yededestyle live long broh kwa kazi nzuri kama hizi..!
angalia video ya nyimbo yake inayoitwa Cheza Kwa Step kupitia apa
https://www.youtube.com/watch?v=ykutBi_K1HM Heshima ziende kwake Legend wa Bongo Fleva jaymoefamous
Jabulani ThrowBack Time
Jabulani mwana harakati wa kitaa anaye kuja kwa kasi sana kwenye tasnia hii ya muziki hii apa ni moja ya video yake https://www.youtube.com/watch?v=YnVYR6iGSHU&t=8s nimeamua kukuletea wewe mdau na mpenz wa muziki wa kizazi kimpya
Thursday, September 6, 2018
Sunday, March 25, 2018
Monday, February 13, 2017
PAKUA
Maisha ya kitaa ni zaidi ya elimu ya chuo Kikuuuu....Usisahau kubofya link hyo kudownload Nakuskiza mziki http://mdundo.com/a/23376 mzuri
👇
👇
👇
👇
👇
👇\#streetlife
Friday, February 3, 2017
watundusquad&kalizone music
Bofya HAPA http://mdundo.com/a/23376 kupakua wimbo kutoka kwa @official_dreams_tz &#glorius ft @y.o.g. kwa jina #laazizi produced by #fex @kalizone_music au cheki Na nambari +255 713 291 527 au +255 754 686 353 kwa mawasiliano zaidiInfo powered by
watundusquad&kalizone music
@thug_cliff @official_dreams_tz @rassulraan @doremifasotz
#supporturown
#thank4support
Subscribe to:
Posts (Atom)
Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025
Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025 Get #Unastahili now on Youtube https://youtu.be/WF7h7MP96r4 Ge...






