Saturday, December 19, 2015

Sunday, June 7, 2015


Nmepita pande flani iv nikakutana na wanaa iv ni venye wanasemaa etiii *** yaan usitakee tuwe wa baya kwan vile ubaya sisi 2nauweza (usichafukwe na roho couZ 2na brush WIRE)

Saturday, June 6, 2015

YASS *** Fire we burn *** FIRE WE BLAZE ###

(TOTALL MEDITATITION)

***That 's true ma real's  name*** Peter. A. Duncan ### some  of them they use to call me the fuckin name that  i hate (drinking machine) while the truth's am still as iam and yass i dwaass



yeaah yaaani vile ilikuwa furahi day *friday night#  kilipendezaaa laaana pande flan iv amazing pamoja na majamaa zangu  wa true gangstarz people  from chin ya #  i wish  if  i could be with u all ma nigga out there (but only true niggaz)

Monday, February 16, 2015

Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.

Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.
Hikmet Komur mwenye umri wa miaka 32 alitamani sana kumuona mpenziwe Luisa da Silva swala lililomlazimu kupanda katika gea ya kutua kwa ndege moja ya Uingereza nchini Istanbul.
Lakini alifariki alipokuwa katika safari kutokana na baridi kali ya vipimo vya chini vya -60c ambayo ilimuathiri ubongo wake.
Kabla ya safiri alimwambie mwanawe kwamba atasafiri kwa siku chache.
Mwili wa bwana Komurs ulipatikana katika uwanja wa ndege wa Heathrow baada ya wafanyikazi katika uwanja huo kuona miguu ya binadamu.
Aganda na kuwa barafu

Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya kwa watumiaji wa mtandao huo

Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya ambayo yatampa mtumiaji wa mtandao huo uamuzi juu ya kurasa zao kuwa zifutike kabisa katika mtandao huo pindi watakapo fariki dunia.
Ama kama watataka kumchagua rafiki ama mwanafamilia atayeendelea na ukurasa huo na kudhibiti baadhi ya masuala katika ukurasa huo baada ya kifo chao.
Mazingira hayo ni moja ya madai waliyokuwa wakiyahitaji watumiaji wa mtandao huo wa kijamii ambao walitoa maoni yao juu ya ukurasa wa kumbukizi na taratibu zake.
Hata hivyo utaratibu huo mpya kwa kuanzia utaanza kutumika nchini Marekani.
Akitangaza utaratibu huo mpya ,mtandao huo wa kijamii umeeleza kuwa ,mtu akifa ukurasa wake unaweza kubaki kuwa kumbukumbu ya maisha yao hapa duniani,lakini pia ishara ya urafiki na uzoefu.
Kwa kuzungumza na watu waliopoteza wapendwa wao,tuligundua kuwa kuna kitu tunaweza kufanya kuwaunga mkono wale wanaoomboleza na wale wanaotaka kusema kitu kwenye kurasa za marehemu .
Kama mtumiaji ataamua kumruhusu mtu Fulani kuendeleza ukurasa wake hata katika siku ya mazishi na hatimaye maziko anaweza kufanya hivyo pia.
Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya

Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025

  Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025 Get #Unastahili now on Youtube https://youtu.be/WF7h7MP96r4 Ge...