Monday, February 16, 2015

Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.

Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.
Hikmet Komur mwenye umri wa miaka 32 alitamani sana kumuona mpenziwe Luisa da Silva swala lililomlazimu kupanda katika gea ya kutua kwa ndege moja ya Uingereza nchini Istanbul.
Lakini alifariki alipokuwa katika safari kutokana na baridi kali ya vipimo vya chini vya -60c ambayo ilimuathiri ubongo wake.
Kabla ya safiri alimwambie mwanawe kwamba atasafiri kwa siku chache.
Mwili wa bwana Komurs ulipatikana katika uwanja wa ndege wa Heathrow baada ya wafanyikazi katika uwanja huo kuona miguu ya binadamu.
Aganda na kuwa barafu

Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya kwa watumiaji wa mtandao huo

Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya ambayo yatampa mtumiaji wa mtandao huo uamuzi juu ya kurasa zao kuwa zifutike kabisa katika mtandao huo pindi watakapo fariki dunia.
Ama kama watataka kumchagua rafiki ama mwanafamilia atayeendelea na ukurasa huo na kudhibiti baadhi ya masuala katika ukurasa huo baada ya kifo chao.
Mazingira hayo ni moja ya madai waliyokuwa wakiyahitaji watumiaji wa mtandao huo wa kijamii ambao walitoa maoni yao juu ya ukurasa wa kumbukizi na taratibu zake.
Hata hivyo utaratibu huo mpya kwa kuanzia utaanza kutumika nchini Marekani.
Akitangaza utaratibu huo mpya ,mtandao huo wa kijamii umeeleza kuwa ,mtu akifa ukurasa wake unaweza kubaki kuwa kumbukumbu ya maisha yao hapa duniani,lakini pia ishara ya urafiki na uzoefu.
Kwa kuzungumza na watu waliopoteza wapendwa wao,tuligundua kuwa kuna kitu tunaweza kufanya kuwaunga mkono wale wanaoomboleza na wale wanaotaka kusema kitu kwenye kurasa za marehemu .
Kama mtumiaji ataamua kumruhusu mtu Fulani kuendeleza ukurasa wake hata katika siku ya mazishi na hatimaye maziko anaweza kufanya hivyo pia.
Mtandao wa kijamii Facebook umeongeza mazingira mapya

Friday, February 13, 2015

HAPPY VALENTINE DAY

Happy valentines day for every  body on the world Be happy 2day show some love 2 every one who love you or not dont ignore that couz 2day is special day to show some love 2 every one
upendo ni kitu cha bure jifunze kupenda  na iman utapendwa saaaana kwan kwenye hiii dunia bila upendo bado hatujafanya chochote ivo rafiki yangu mpende anayekupenda ata asiye kupenda
ivo bhac fanya vile unavojipendelea ila usisahau kuonesha upendo kwa kila moja kwan upendo n maisha na maisha n upendo



Mchungaji Afumaniwa Akila Uroda Na Mke Wa Mtu, Karatina

MASKINI!! ANGALIA AJALI KUBWA 5 ZILIZOWAHI KUTOKEA

Wednesday, February 11, 2015

Mecca cheka kundi la sanaa toka Arusha

mecca cheka kundi la sanaa linalofanya vyema jijini arusha na pande za jiran wanafanya aina tofaut ya mziki ukiwemo hiphop, Afro pop na aina nyngne nying ya mziki.......

mwaka 2010 walifanya vizur yan paka ikwawapelekea kujulikana arusha nzima na mikoa mingene ya jirani waliachia hit song kama pole ndo ukome , rakatata ambazo  zilifanya vyema media zote za jijin na hata jiran
Waliendeleza harakat hawakukata tamaa wakazid kutoa hit song zilzo tikisa pande zote za jijin walitoa ngoma kama Darasa huru ambayo walimshirikisha sister nakaya pia walitoa ngoma na mkali G nako hii ngoma ilii fanya vyema sana

Bado n wakali kwenye gemu hili la sanaa japo kwa sasa wamepotea kidogo ila hawa majamaa n hatar saaana kama wakipewa support ya moja kwa moja watafika mbali saaana katika tasnia hiii ya sanaaa
 
hii ni moja ya show yao kubwa waliyo wahi kupiga apa jijin Arusha n sheeeeda hawa majamaa.........
Apa wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao wanaofatilia mziki wao.......

Paddy mcnair amesaini mkataba mpya na man utd

kwa wale wapenzi wa manchester united n furaha nyingene tena kwenu kwan   Paddy mcnair amesaini mkataba mpya na man utd utakaomueka mpaka june 2017 mashabiki weng wa timu hiyo wamefurahia jambo hilo anasema Van Gaal kocha mkuu wa man united



Tuesday, February 10, 2015

adam mchomvu afuta urafiki na Ben Pol

Ben Pol na Barnaba freestyle African queen by 2face / hotelin moshi

Nikki wa Pili - Safari ft Joh Makini, G.Nako, Nahreel, Aika, Jux, Vaness...

Brand new track toka kwa mwana dada lady fire sambera ngoma inaitwa banjuka bonyeza apa ku download ngoma iyoo........  

https://mkito.com/artist-profile/lady-fire-samberaa/719

Bad brain A.K.A Croo brain up coming artits anayekuja vema katika tasnia hiii ya muziki muda so mrefu ntakuletea singo yake ya kwanza....aliyofanya pande za mbezi record
pia anajishughulisha na mambo mbali mbali kam fashion show ukimchek apo chini ka2piaa ileee mbaaayaa anatishaaa xaaana hu jamaaaemu tazama  angalau picha zake kidogoo ujioneee



Monday, February 9, 2015

Yasss Yasss Yoooo!!! jamaaa anajulikana kama poncey oviedo unaeza mwita Rock Mtz ni sheeeda katika upande flan wa logo desgn ana ma log ya kutishaaa kwa mawasiliano piga +255763184420 

LYFE STLYE leo imemtembelea huyu jamaaa tukaooona tumlete fasi hiii


Hii ndo lyfe style 2nayozungumzia yan maisha yako halisi unayoishi  bila kujali upo wapi ,unafanya nn ,muda gan kujikubali mpaka mwisho ivo yan...! big up xaana kwa hawa majamaaa wameonesha mwanzo mzur wa safari yao ya kimaisha ivo bhasi nawatakia kila la kheri mungu awabariki....!!!

...............................................................................................................................................................


KARIBUNI SAAANAAAA

Habar gani wapenz wafatiliaj wa blog ya kijanja na kibishi  I wish na jua mko poa saaaana pande hizoo mnazo patikanaaa.... bila shaka mungu kabariki teeena yapasa kushukuru kwa yotee.......!!!

Bila ya kusita sita ningependa kuwakaribisha rasmi katika blog hii  kijanja ya LYFE STYLE   karibuni saana na mkae mkao wakula kwa kupata habari mbali mbali zinazo husu maisha, burudani na mengine mengi tutayokuta nanayo hatutasita kuwahabarisha nyie wapenz wafatialiaj wa blog hiii ya kijanja na kibishi hivyo bhasi tungependa kuwa ambia  stay tune na LYFE STYLE kwa habar za uhakika.....!!!

....................................................................................................................................................................

Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025

  Jizo Credible Unastahili Ft Bob Lim & |Allexa (Official Audio) 2025 Get #Unastahili now on Youtube https://youtu.be/WF7h7MP96r4 Ge...